Shamba linauzwa ni beach plot liko tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko).
Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka shambani mpaka bandari ya tanga na umbali wa kilometer 8 kutoka tanga mjini hadi kufikia Shamba.Shamba lina hati ya mauziano. Eneo limeshapimwa tayar,Suitable for hotel au depot ya mafuta.