Plot4Sale Beach plot yenye hati miliki Kigamboni, inauzwa

Plot4Sale Beach plot yenye hati miliki Kigamboni, inauzwa

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Salaam,
1. Beach plot inapatikana kigamboni, maeneo ya changani beach. (upande wa kushoto baada ya kumaliza avec town)
2. Umbali kutoka ferry Ni km 20 mpaka kwenye plot
3. Kiwanja ni cha tatu kutoka ufukwe wa bahari ya hindi (meter 150 kutoka baharini mpaka kwenye kiwanja)
4. Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki kutoka manispaa ya temeke (kabla ya kugawanywa na Kuwa manispaa mpya ya kigamboni)
5. Kiwanja kina ukubwa WA sqm 950
Mhitaji ataenda manispaa kujiridhisha umiliki halali. (ndipo hatua zingine ziendelee)
Bei: 9.5m
for more info : 0756 832833
Screenshot_2018-12-05-20-57-28.jpeg
Screenshot_2018-12-05-20-57-04.jpeg
Screenshot_2018-12-05-20-57-47.jpeg
 
Back
Top Bottom