mzungu wapink
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 114
Hizi slippers zinauzwa 10,000 pale Miniso. Mimi nauza bei hiyo hiyo 10,000 lakini nitakufanyia delivery.
Ni nzuri sana zenye muonekano classic.
Ukinunua hii sleeper toka kwangu utasaidia watu wengi kulipwa mishahara na kusaidia familia zao kukua kiafya na uchumi pia.
Uchumi umebana ila maisha lazima yaendelee
Kama ilivyo kuna maeneo tunanunua soda moja 5000 basi tujaribu kua wastaarabu kidogo km bei unaiona ni kubwa basi tuache kuwa discourage wale ambao wapo tayari ku support harakati
So ningeomba km sio muhitaji jizuie kutoa maneno ya kashfa kwa biashara za watu kwani mwisho wa siku tunatafuta kupeleka mkate home
Toa order yako ila sio kashfa na ujuaji
Kama nimekosea tangazo nawe ni mtaalam wa marketing basi nifuate inbox unshauri nifunze marketing huko uniambie nimekosea wapi katika post yangu
Ila kusubiri tupost kisha mtusimange kwenye post sidhani km ni uungwana.
Ukifanya hivyo haunifunza ila utanilaza njaa tu...
Kwa order piga sim au comment
Kwa ushauri katibu DM PLEASE.
Your support please
+255788282409
Kinondoni