Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Lenco BearCat wanatengeneza armored vehicles kwaajili ya majeshi mbalimbali Duniani, ikiwemo SWAT.
Kwa sasa Jeshi la Polisi wameleta vyuma ivyo kwaajili ya kurahisisha kazi zao.
Model ilioletwa ni G3 ambayo imeonekana ikisimamia swala la ulinzi siku hizi mbili.
Hii chuma ina engine ya V8 6.2L, turbo-diesel ikiwa na 6 speed transmission na max speed ya 150 km/h.
Usiione ndogo, wanakaa askari 10-12 na kuna storage ya gears.
Amani iendelee.