Beautiful and still single

Beautiful and still single

Mkasika

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
391
Reaction score
155
Kendall Jenner

22-1.jpg

Selena Gomez

77.jpg

Rihanna

1010.jpg

Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
 
Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
Ah ah ah ah umenikumbusha rafiki yangu mmoja hivi huo ndio msemo wake.

Mwanaume Lazim ujiamini bwana
 
Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
Sio kweli, sema tu hujampata mzuri, sio kwamba wazuri hawaolewi
 
Huyo rihana ni lesbian na ana taasisi yake kabisa yenye kutetea Mapenzi ya jinsia moja
 
Back
Top Bottom