Beautiful and still single

Sio Kindle, ts Kendall
Kuwa single stage ya maisha pia
 
Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
 
Hakuna ukweli ktk hiloo[emoji31] [emoji31]
 
Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
Ah ah ah ah umenikumbusha rafiki yangu mmoja hivi huo ndio msemo wake.

Mwanaume Lazim ujiamini bwana
 
Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
Sio kweli, sema tu hujampata mzuri, sio kwamba wazuri hawaolewi
 
Siyo kweli.. hao wate wapo kwenye mahusiano.
 
Huyo rihana ni lesbian na ana taasisi yake kabisa yenye kutetea Mapenzi ya jinsia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…