Beautiful Kenya - Tea farms - visual satisfaction

Mbona Kipsigis hali zao ni duni au wanafanya vibarua kwenye mashamba ya wenyewe!?
 
Wabongo husema kila kitu Kenya humilikiwa na mzungu na wakenya wote wanaishi kibera
Yani hadi wewe unamilikiwa na mzungu! Hao wanakukosea heshima sana, ila kuna wale ma manzi huwa wanasimama na mabango kando za malls hasa westgate wanataka kuolewa na wazungu! Ata wewe si ulisha waona..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nadhani walimaanisha hata mimi namilikiwa na wazungu.
 
Bongo yapo sehemu nyingi ila picha ndo hazipo. Sijui kwa nini.
Ila kuna mashamba ukitaka kuona lote ndani ya siku moja lazima utumie helcopta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…