vaxromeo91
Senior Member
- Sep 16, 2015
- 154
- 74
Godown au nyumba?Mid-century architectural design yenye master bedroom 2, ina 170sqm. Kiwanja 25m x 25m.
Ina atrium katikati inayoruhusu mwanga kupita kwa wingi. Ina interior design pia.
NB: Inaweza kua modified.
Karibuni.
0766043459
View attachment 2364800View attachment 2364803View attachment 2364813View attachment 2364814View attachment 2364810
Kazi nzuri. Waeza kueka picha zaidi tujifunze?
Ningependa kuona hapo kati wings zote tatu zinapokutana pamekuwa designed vipi
View attachment 2367547
kuna column ndogo tatu hapo.
Great design, naona sehemu ya skylight pametendewa haki...
Ingawaje kibongo bongo linaweza kuwa chochoro la wana...