Beauty of the Day: Dangio Kaniki

Basi mi warembo siwajui maana naona kawaida sana! Sorry ni kwa upande wangu lkn!

Wakawaida mnooooo, labda kama mnamzungumzia kwasababu ya nafasi aliyopo, mbona hapo Dar mitaani wapo wakali kumzidi, ila position tu ndio hawana, so hamuwajui.
 
Beauty gani huyu? Todally average-looking and definitely not a head-turner kwa mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…