Bebe Anatakiwa kuwa.....

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
```Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo...

Siyo unadate binti anajua mpaka Lukaku alifunga mabao mangapi msimu uliopita??...

Demu unakaa naye anamjua Boro Yanki, Van Dame, Bill Branks....

Anakuhadithia "Anodi ya jini mwanzo mwisho"...

Yaani huna hata kipya cha kumfundisha...

Binti anatakiwa ukimuuliza "Bebi unamjua Rooney?? "

anakujibu "Namsikiaga tuu.. Hivi ameimba wimbo gani??"

Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo...

Yaani eti babe anampenda Undertaker na Marehemu Umaga...

Binti anangaalia Movie ya Wrong Turn hata hajifichi amekodoa mimacho kuanzia mwanzo mpaka list ya majina inapita...

Babe anatakiwa ukiangalia naye Final Destination muda wote kafumba macho...

Kila Mara anaongea na waigizaji...

"Jamani wewe usiende utakufa huko"

Mara unasikia "babe toa hii nitaota"...
Siyo Babe anakaza mdomo kabisa kwa hasira mtu akikoswakoswa kufa unamsikia "kudadeki afe tu huyo ana kiherehere... "

BABE anatakiwa kuwa mashamba kidogo.......!!

Waiter zungusha [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Usiku una mengi....! hahahah


Zama zimebadilika... [HASHTAG]#hakiElimu[/HASHTAG]
 
Ngoja nipite tu,maana huyo babi anayemjua boro yang na van damme atakuwa baby mzee kidogo na kaone mengi usitegeme movie ya 'wrong turn' imtishe,labda kidogo angeongopa ungemwekea thriller ya michael jackson,kwani ni nyakati zake miaka hiyo.
 
"kudadeki afe tu huyo...." mademu wa chuga swaga zao ndio hizo, unakuta dem mkavu kama men
 
Hahaha! Ndo mana wengine tunajifanyaga washamba ili umpe bichwa mpenzi wako, nae ajione anajua kuliko wewe!
Mwanaume naturally ni kiongozi so ni vizuri umwache aongoze ata kama unajua kua anaboronga, unamweka kwenye njia sahihi kistaarabu bila yeye kujua.
 
We have different tastes.........''Baby'' mshikadau wa mpira kwangu ni bonus....
 
Bebi anajua mpka team za Singapore kisa ana beti na yeye
 
Asanteee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…