Beberu kukubaliwa kuua wanyama Tanzania

Beberu kukubaliwa kuua wanyama Tanzania

Mashashola

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
4,345
Reaction score
5,718
Rich white men will now be allowed to kill animals in Tanzania National parks after paying money. The practice which is discouraged worldwide attracts wealthy tourists and is hence allowed in Tanzania.

The animals to be killed include elephants, lions and other exotic wildlife found inside Tanzania nationals parks.

Screenshot_20220130-093346.jpg
 
Futa huu uzi anko unakuonesha kuwa hujui vitu vingi asee...
Vitalu vya kuwinda vipo miaka na miaka wala cio swala jipya
 
Rich white men will now be allowed to kill animals in Tanzania National parks after paying money. The practice which is discouraged worldwide attracts wealthy tourists and is hence allowed in Tanzania.
The animals to be killed include elephants, lions and other exotic wildlife found inside Tanzania nationals parks. View attachment 2100681
Yaani mtu analipa milioni moja tu shilingi za Kenya kisha anaruhusiwa kuuwa ndovu? Wajinga sana hawa Watanzania. joto la jiwe unakubaliana na policy hii ya serikali yenu kuruhusu matajiri kuwaangamiza ndovu na simba kwa kulipia pesa ya uwindaji?
 
Muacheni mama afanye kazi yake, tena anatakiwa aue wale wanyama wanaotoka Masai Mara na apunguze bei kidogo ili kuchochea kasi.
 
Yaani mtu analipa milioni moja tu shilingi za Kenya kisha anaruhusiwa kuuwa ndovu? Wajinga sana hawa Watanzania. joto la jiwe unakubaliana na policy hii ya serikali yenu kuruhusu matajiri kuwaangamiza ndovu na simba kwa kulipia pesa ya uwindaji?
Wacheni propaganda yenu.

Hunting tourism industry in Tanzania [emoji1241]

Iko miaka mingi na haifanyiki ndani ya National Parks zetu.

Bali kwenye Special Hunting Blocks ambazo zimetengwa maalumu.

Hakuna permit ya kuua mnyama aina ya Tembo nchini Tanzania [emoji1241]

Wakenya Wacheni wivu wenu kwa Tanzania [emoji1241]

#visittanzania [emoji1241]
#Tanapa
#Tanzaniaunforgetable.
 
Back
Top Bottom