Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Yaani mtu analipa milioni moja tu shilingi za Kenya kisha anaruhusiwa kuuwa ndovu? Wajinga sana hawa Watanzania. joto la jiwe unakubaliana na policy hii ya serikali yenu kuruhusu matajiri kuwaangamiza ndovu na simba kwa kulipia pesa ya uwindaji?Rich white men will now be allowed to kill animals in Tanzania National parks after paying money. The practice which is discouraged worldwide attracts wealthy tourists and is hence allowed in Tanzania.
The animals to be killed include elephants, lions and other exotic wildlife found inside Tanzania nationals parks. View attachment 2100681
Yaani mtu analipa milioni moja tu shilingi za Kenya kisha anaruhusiwa kuuwa ndovu? Wajinga sana hawa Watanzania. joto la jiwe unakubaliana na policy hii ya serikali yenu kuruhusu matajiri kuwaangamiza ndovu na simba kwa kulipia pesa ya uwindaji?
Muacheni mama afanye kazi yake, tena anatakiwa aue wale wanyama wanaotoka Masai Mara na apunguze bei kidogo ili kuchochea kasi.Rich white men will now be allowed to kill animals in Tanzania National parks after paying money. The practice which is discouraged worldwide attracts wealthy tourists and is hence allowed in Tanzania.
The animals to be killed include elephants, lions and other exotic wildlife found inside Tanzania nationals parks. View attachment 2100681
Wanyama watanzaniaBadilisha headind bwana. Kuuwa ndovu na simba inahusiana nini na kuuwa watanzania!!!!
Wanyama watanzania
WhateverWanyama wa Tanzania
Wacheni propaganda yenu.Yaani mtu analipa milioni moja tu shilingi za Kenya kisha anaruhusiwa kuuwa ndovu? Wajinga sana hawa Watanzania. joto la jiwe unakubaliana na policy hii ya serikali yenu kuruhusu matajiri kuwaangamiza ndovu na simba kwa kulipia pesa ya uwindaji?