KAMA KWELI wewe ni marketer unatakiwa ufukuzwe kazi sio wote humu wana knowledge ya IT eleza hivyo vifaa vinafanya kazi gani na manufaa yake kwa mtu anayetaka kutumia.

mkuuu hii sio ensyclopedia au dictionary, tangazo limewalenga wanaovihitaji, kama huviju basi huviitajii. usipende kutafuniwa, kuwa mdadisi na ujifunze vitu binafsi.