Bedroom ya Harmonize matusi matupu halafu baadaye walalamikie BASATA

Matusi ya nguoni yamezidi. .... im just imagining my little daughter aje aimbe kama rosareee... itaniuma saannnaaaa... si haki wala halali...unadhani baba yake rosaree anajisikiaje huko aliko akisikia mwanae anaimba "im gonna deep throat till I fucken choke"... dahh.. hapana aisee... huu wimbo ufungiwe.
 
Young Lunya kawafunika


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mbona mond nyimbo zake zote matusi ila hamkuja na uzi humu jeje, aloimba na tanasha et embu chutama tuone kama inazama asubuhi niamshe na kimoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa ni wimbo wa diamond platinumz au wasafi
Hater's ungesikia Ooh Tangu harmonize atoke wasafi,diamond ameishiwa mashairi
Kwasababu ni harmonize basi wanasema Mashabiki wafuate mambo yao.
 
Huyo mtoto wako hata asipoimba bado atakuja ku deep throat untill she choke.... lol.
 
Swali la kizushi ila majibu ndo hayatoshi, hivi kati ya nyie wachaga na sigara yupi anatoka moshi?
Sigara inatoka Moshi tu,,ila Wachaga wanatoka Moshi pasua,Old Moshi nk...ila Mimi ni Mmaasai na Muarusha sio Mchaga mkuu.!!
 
vizee kama wewe unasikiliza nyimbo Kama hiyo ya nn??

Kwanini usiskilize msondo ngoma??
 
kwani umetukaniwa mamako...ukiona hujaulewa mziki ujue wewe sio mlengwa ndo maana kuna parental advisory.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…