Bedroom ya Harmonize matusi matupu halafu baadaye walalamikie BASATA

Mkuu kweli ni matusi, wasanii wa tz imekuwa kawaida kuimba hayo matusi, Kama wenye mamlaka yao wameachia wewe mtu wa chini hutofanya chochote, ila ukweli utabaki palepale kwamba hizi nyimbo zinaharibu watoto.
Kizazi kijacho cha watTZ kitakuwa balaa maana hata wazee wao ambao ni vijana wa leo ndio hali kama hii, cha msingi ni kuweka mbali na watoto.

Wanasema hizi nyimbo ni za vijana, hata mimi ni kijana ila nilishaacha kusikiliza hizo bongoflava, suruhisho ni kuacha kusikiliza na waachie wengine.
Whites wanasema just mind your own business.
 
Word mkuu..thumbs up
 
Kama BASATA hawaoni ni ishu basi acha maisha yaendelee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…