Beef beef ndani ya bongo movie

Hawa wanaojiita mastaa mimi walishanichosha, ustaa wa kuandikwa ovyo magazetini na kwenye mitandao, hivi huwa hawa ndugu wenye heshima wawashauri, yaani wako kama vile hawana hata wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…