kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Huyu jamaa nakumbuka alikuwa mkereketwa sana wa lebel ya domo ya wcb_wasafi but navoona kinachoendelea kwenye mitandao inaonesha kuna mtafaruku mkubwa sana kati yao. Mara nyingi huwa naona anakoment kwa kuwaponda sana wasafi, kweli nimeamini rafiki yako wa leo ndo adui yako wa kesho siamini kabisa nachokiona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app