kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Itakuwa jamaa ana hasira sana maana siyo kwa povu hiloApambane na hali yake..
UmetishaUkiona unasifiwa na adui yako, jua kabisa unachokifanya unakosea au sio sahihi lkn ukiona adui yako anakuponda basi jua unachokifanya ni sahihi na ni kizuri na ndio maana kina mkela kwani anafurahi kuona mabaya zaidi yakitokea upande wako
Kwa hiyo huwa anatafuta kijibiwa ndo maana mapovu yanamtokaga sanaMzambele kufukuzwa wcb itakuwa ilimuuma sana, huenda alikua na ndoto nyingi na hazikutimia,
Maana post kibao anatoa povu tu, afu bahati ilivyo mbaya kwake jamaa hawa mjibu kabisa
Jamaa ana uchungu balaaa maana mmmh anatokwa mapovu aiseeUle wimbo wa "Sitaki mazoea wa bilnas naupenda sana.. Naona huyo dogo wa kigoma amepagawa.. Kufukuzwa WCB hatakiwi kuishi kwa hasira
Umenikumbusha Nape nnauye alivyoitwa hero na CDM,na JPM anavyokosolewa sasa.Ukiona unasifiwa na adui yako, jua kabisa unachokifanya unakosea au sio sahihi lkn ukiona adui yako anakuponda basi jua unachokifanya ni sahihi na ni kizuri na ndio maana kina mkela kwani anafurahi kuona mabaya zaidi yakitokea upande wako
Uko sahihi kabisa!Mwanamme kama huyo lazima atakuwa na hitilafu kichwani...kama wanaume wenzio wanakukataa hupati kuwa na wivu na roho ya uchungu,best revenge ni kutafuta shughuli halali,ufanye kwa juhudi sana sana afu matunda yake ndio kisasi chao.