ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Aione NifahBeef ya @zarithebosslady na @wemasepetu inasemekana eti imerudi tena, kama unakumbuka awali Zari alimshutumu Wema Na Team Yake kwa kumdhihAk Tiffah Kuwa ni zombie na c mtoto wa Chibu kwa damu,
Baada ya kusemekana Kuwa ujauzito wa Wema umeharibikA
safari hii mama T amekua wa kwanza kurusha kombora na kudai Kuwa eti kile kibend cha Sepenga sio cha kweli, kwani alijaza mito ya Kulalia tumboni, na ule mchezo wote ni movie
Source: Snapchat
Inasemekana eti
Hahahahahaha afu kweli...... poleeeeeImagine ningeleta mimi hii habari hadi sasa watu wangeshamwagika na matusi ya kutosha,nashangaa kimyaaaa.
Asante sana.Masikini Zari hana furaha kwenye mahusiano yake....huu muda anautoa wapi na mmetutanabahisha kuwa huyu dada yuko na mabusiness lukuki!
I still believe in You NifahImagine ningeleta mimi hii habari hadi sasa watu wangeshamwagika na matusi ya kutosha,nashangaa kimyaaaa.
Kwan hukuona ile video yke akijibakisha na msitu wake wa amazonHahahaa ndizi inabakaje?
Sikufanikiwa kuionaKwan hukuona ile video yke akijibakisha na msitu wake wa amazon