Beef la Zari na Wema limerudi tena

Status
Not open for further replies.
Mkuu mshana jr naomba unifundishe na kunipa dawa atakayotumia Wema Sepetu ili mimba isiharibike maana hivi karibuni nataka kuchukua nafasi ya Big brother Idriss maana inaonekana jamaa hajui ku-care mwanamke akiwa mjamzito.
 
kiboko ya timu wema ni Zari naona wamefyata kimyaaaaa sijui ndio wanaanua matanga yetu macho sie 😛😛😛
Kwa Kip hasa alichokua nacho huyo zaituni?...au vile vitako km vigoma vya daku ndo vinakutoa roho
 
Kwa Kip hasa alichokua nacho huyo zaituni?...au vile vitako km vigoma vya daku ndo vinakutoa roho
anakila kitu yule kuanzia uzuri mpaka kujituma embu mfananishe na nduguyo yeyote mwenye age yake ndio utaona usiongelee kishabika kuwa halisi
 
anakila kitu yule kuanzia uzuri mpaka kujituma embu mfananishe na nduguyo yeyote mwenye age yake ndio utaona usiongelee kishabika kuwa halisi
Hpo kweny uzur big NO....Yule miss photogrid hawez mpata madam
 
Masikini Zari hana furaha kwenye mahusiano yake....huu muda anautoa wapi na mmetutanabahisha kuwa huyu dada yuko na mabusiness lukuki!

Unajiuliza nini? Unachekesha sana. Eti hana nini? Acha wivu

Mwenzio anayafanya akiwa juu ya mwili wa bwana ake.
 
Hpo kweny uzur big NO....Yule miss photogrid hawez mpata madam
uyo madam sio age yake huwezi fananisha hao nimekwambia angalia mtu mwenye umri sawa yaani 30 something hivi, pia photogrid insta wachache hawatumii kila mtu anajiosha nayo
madam linganisha na kina jojo,uwoya na wolper ndio age mate wake
 
Kumbe na yeye ni walewale sikujua Kama anatabia za kiswahili hivyo, Wema na Zari akili zinafanana
 
uyo madam sio age yake huwezi fananisha hao nimekwambia angalia mtu mwenye umri sawa yaani 30 something hivi, pia photogrid insta wachache hawatumii kila mtu anajiosha nayo
madam linganisha na kina jojo,uwoya na wolper ndio age mate wake
zari 40
 
Masikini Zari hana furaha kwenye mahusiano yake....huu muda anautoa wapi na mmetutanabahisha kuwa huyu dada yuko na mabusiness lukuki!
Anakuachaje kwa mfano, anakuogopa au ....... Bill gates,Dangote na Buffet wenyewe wanao muda wa kusoma mitandao itakuwa Zari akose muda wa kumjibu huyo takataka.
 
Huyu zari nae ndie anajifanyaga mfanya biashara maarufu, mzungu hana time na uswahili, ptuuu a amekuwa mswahili mpuuzi kuliko huyu wema, kama kakosa kazi ssi ajifundishe kucheza vigodoro tu kwa raha zake aache ugomvi, mtu mzima hovyoo.
 
Zari yuko sahìhi sana. Alitukaniwa mtoto mchanga na jini hilo.

Yeye ndiye alieingia labor, uchungu wa mwanae anaujua yeye.
Ni haki yake kumtusi wema na kumnanga vyovyote awezavyo.

Nami nasemwa Wema ni jini kabisa.
 
Zari atulie alee penzi lake.

Wema hana hata time nae...yeye kutwa kurusha vijembe....

Huo muda wa kumfatilia mwenzie anatoa wapi???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…