BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
Nimetoka kutazama akaunti ya instagram ya Shilole anatoa maneno mabaya kwa Vanessa.

Mashabiki wanahisi anamshambulia Vanessa Mdee japo hajanyoosha maelezo.

Nilichokiona sijawahi kukiona instagram kwa muda mrefu.

Team zote zimeungana kumnyoosha Shilole kwa kumkosea adabu Vanessa. Team Diamond, Wema, kiba, Zari, Anaconda wote wameunganisha nguvu kumpigania V money.

Hii inaonyesha ni namna gani Vanessa anaheshimika na makundi yote na inatoa image nzuri sana kwa msanii kibiashara na kijamii.

Big up kwake hii sio rahisi kwa msanii zama hizi kukubalika na wote

Msikilize Shilole hapa akitishia kumchapa vibao Vanessa Mdee.

Vanessa ajibu mapigo.

Kuna maelezo yanayokinzana kuhusiana na sababu iliyowafanya wawili hao waingie kwenye ugomvi.
 
Shishi kama kafanya hivyo kazingua..Vanessa ni moja ya wasanii wakike wasio na makuu kabisa..Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake mengi utagundua hilo..Na mara nyingi uwa anatoa support kwa wanawake wenzake..Huyu Shishi sijui amekula maharage gani
 
Yani wakati nasoma Uzi Wako Mimi nikawa naona tukio, (sijui nikoje) naona Shilole anampa Makofi ya Maana Vanessa, vile Vanessa alivyo akijaribu kujitetea anakutana na ngumi inayompeleka chini, SI ndo raia wakaona usenge huu! Si ndo wakaingilia Kati, ndo wakaanza kumpa Shilole kipondo cha kufa mtu...
 
kwahiyo chanzo cha matusi hakijajulikana
 
Ni juzi tu tuliona video ya msanii wa kimataifa vanessa mdee akimfundisha yai local artist Shishi baby salon cha ajabu ni leo ghafla wamenza kutupiana maneno uko instagram
shilole alianza na ujumbe huu [emoji116]


haikuchukua mda nae vanessa mdee v. money amendika maneno haya kupitia instagram account yake

"Nikupe KICKIII ujulikane au sio? Kila siku twanyamaza ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio wale uliowazoea. P.s: You ain't worth this post inashushwa sasa hivi" #MessageSent
 
Bifu haijaanzia hapo rekebishaaa imeanzia nyuma kidogo! By the way Bifu yao haina Mvuto
 
Ajira zingine bana!?!? Mpaka ufanye ujinga ujinga ndo uingize?!?! Sasa Vanessa na huyo wapi na wapi jamani... Moja na elfu kabisa...
Yaani! Na mganga wao aliewaambia kuwa hio ndio siri ya mafanikio, KAFA; kisomo na arobaini vishafanyika. Wa kuwaponya na ujinga huu hayupo!
 

Shilelo kwa v money kachemka v money level nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…