Beer Day

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wananchi wa kisiwa cha iceland kesho wanasherekea sikukuu ya beer day
siku hiyo muhimu imefanya kazi za kawaida kushia saa sita
mchana na baada ya hapo mwenye nia,hamu ya kupata beer
mpaka atakapoenda kulala,..hali hii inaazimishwa huku wengine wakiamini
kunywa beer kunaweza kuwasaidia kupunguza asilimia kubwa ya matatizo yao ama stress
Haya wapwa kulikoni uko!!!
 
Mweeee sipati picha kama BujiBuji angekuwepo huko
 
Mweeee sipati picha kama BujiBuji angekuwepo huko

Naomba Mungu wakina shigongo wasitokee,...watauza magazeti kweli
wapwa mupo??
 
Kuna nchi zinasikukuu nzuri kweli!! kwani shigongo si msabato yule au anakandamiza mvinyo wa mjini Kana?
 
Kuna nchi zinasikukuu nzuri kweli!! kwani shigongo si msabato yule au anakandamiza mvinyo wa mjini Kana?

MMMH nsabato masalia huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…