donzii mayeyo
Member
- Nov 13, 2015
- 66
- 37
Maisha hayawezi kwenda kwa kuthamanisha vitu ulivyovitumia na vitu vingine. Ni sawa ukienda ulaya ukifanya kama Happy Katabazi alivyotuaminisha facebook kuhusu bia na matofali hutakunywa soda hata mara moja, yaani ni kuwa hutaishi maana ukifanya conversion ya dola, pound, Kroner etc soda ni sawa na elfu tatu or so za TZ, hutakunywa soda milele mpaka unarudi!Habari za humu ndani,
Nimesikitika sana kusikia eti mtu anafananisha beer na tifal za kujengea,tokea lini beer ikafanisha na vitu vya kawaida.
Naombeni mawazo yenu