Nenda soko la tx kinondoni au nenda soko la kisutu mjini utayapata kwa wingiNaomba msaada kama ifuatavyo
1. Beetroot kwa kiswahili inajulikanaje?
2. Kwa Dar nitaweza kuipata wapi
Shuktani.
Mbona harufu yake si mbaya kiasi hicho?
Inaongeza damu sanaFaida yake nini haya ma beetroot
#MaendeleoHayanaChama
Uchumi Wa BlueFaida yake nini haya ma beetroot
#MaendeleoHayanaChama
AsanteNenda soko la tx kinondoni au nenda soko la kisutu mjini utayapata kwa wingi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app