Before you upgrade think twice



Kitu kimoja ambacho naweza kukubaliana hapa! Kwanza lazima ujue unachohitaji! Before I upgrade to new version I always learn what is new in the newer version! Mfano one of my favourate feature in windows 7 is the snipping tool, ukiachilia mbali the double windows, stalking, aero-shake, easy searching, etc! I probably fancy the snipping tool because because it has been a huge help in my daily activities!

I found office 2010 a best thing in making Pro Power Point Presentation, starting with illustartion, animation etc. I only the say this because they have been a huge favor to the work I do!
 
Nakubaliana na wewe kumbe hii Windows 7 bado hata Mwaka haijafikishaa? Mimi Computer yangu ilikuwa inatumia Windows XP Pro Service park 2 lakini Tangu nime Upgrade kutoka Windows XP Pro kwenda Windows 7 Ultimate wakati mwengine nikiwa kwenye Chat ya MSN Mesenger inakuwa hii Windows 7 ina Freez ina ganda kama barafu bila ya sababu yoyote. Nimejaribu kuuliza Google Search Engine inaniambia kuwa Ku Freez kunatokana na Vumbi kwenye Computer. Nimejaribu kutowa Vumbi lakini inafanya kazi ikifisha wiki moja inarudia vile vile Ku Freez kuganda na ikisha ganda huwezi kutumia kitu mpaka uiwashe tena upya.Basi hayo matatizo yake hii Windows 7 na kuna baadhi Hardware haikubaliani navyo ukiweka kwa mfano bluetooth na baadhi ya kamera webCam hazitofanya kazi. Na Wakati Mwengine huwa na Scan Computer kuangalia kama kuna Virus namaliza ku Scan hakuna Virus yoyote. Na ukiangalia kwa ndani zaidi hii Windows 7 ina mapambo tu mengi kwanza inakwenda taratibu sana nimejuta kwanini nimeicha Windows XP Pro.Nawashauri wale wenye Windows XP Pro wawe nayo kwa muda wa Mwaka wangojee kwanza mpaka hii windows 7 ifanyiwe marekebisho vizuri. Wasikubali kuingia mkenge kama mimi ulivyonikuta asanteni sana.
 
Mimi Computer yangu ilikuwa inatumia Windows XP Pro Service park 2 lakini Tangu nime Upgrade kutoka Windows XP Pro kwenda Windows 7 Ultimate wakati mwengine nikiwa kwenye.

Hakuna kitu kama hicho..Hamna upgrade ya XP to W7..Wee mwongo.
 

So this could be the reason why some pple think win7 is bad???? Nimetumia win7 for 4 months sasa and no drama at all. Nikikumbuka maumivu ya Vista.......... najikuta siielewi hii thread yako mtazamaji!
 
So this could be the reason why some pple think win7 is bad???? Nimetumia win7 for 4 months sasa and no drama at all. Nikikumbuka maumivu ya Vista.......... najikuta siielewi hii thread yako mtazamaji!


Sijui kama kuna anayesema Windows7 is bad. Ninachosema ni kuwa it beeter u give time bofere u upgrade. na one should now why she is upgrading.

Wala sijasema this operating systems is best than that au this application is beeter nimesema beofe u upgrade ppl should think.

Binafsi nimefanya kazi za supprort. Kuna mama 1ja niliwai kumsaidi .Tatizo lake ilikuwa ni dogo tu kuna mtaalamu alienda kumlia hela kwa kumuwekea Ms office 2007. Yule mama yeye alijifunza na alikuwa confortable na Office 2003. Kwa hiyo huyu jamaa yeye aliupgrade for sake kompyuta ya yule mama iwe na latest released Office. But yule mama hakuwa akihiitaji kutumia new features zilizoko kwenye Office 2007. Na mabya zaidi akakutana na interface tofauti ambayo hakuzoea. sao utendaji wake wa kazi ukapungua. This Does not mean kuwa Office 2007 ni mbaya. Wala haimaanishi Office 2003 iko perfect.

Kama umesoma Thread yangu na za wachangijai wengine btn the line unaweza kuelewa

Mfano Mzizi mkavu anasema ka-upgrade from Xp to Windows 7.Nina hakina Kwa kompyuta iliyokuwa originally designed for XP kuweka Windows 7 ni kuionea. windows 7 ni memory hungry OS. Kwa mzizimkavu anweza kuichukia Windows7 kumbe tatizo sio windows 7 bali tatizo hakujiuliza maswali ya msingi before upgrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…