Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 118
- 188
Ni fiverr. upwork kuna competition sana maswala ya kutuma bids nk unakuta muda mwingi unautumia kutafuta kazi badala ya kufanya kazi. lakini fiverr ni easy unatangeneza gig then buyer wanakutafuta wenyewe sema kwenye kutengeneza gig yako ndio sehemu ya muhimu sana katika search engine ya fiverr pale buyer anapokuwa anatafuta service kwa kuserch na kutokana na ufanyaji wako wa kazi kama response time na deliver ndio zinasaidia gig na profile yako yako kurank high kwenye fiverr search engineNi fiber or upwork? Naweza kukuchek pm,?
Nichek PMNi fiber or upwork? Naweza kukuchek pm,?
Hizi kazi hazihitaji hata uwe umesomea computer. cha muhimu ujue basic ya computer itakayokuwezeka kufungua account na kusoma sehemu nzuri ambapo kuna material ya kutosha ni youtube. Ukitaka kujua huduma gani unaweza kutoa na ww ukalipwa ingia kwenye website ya fiverr browser km buyer utaona seller wengine wanatoa service gani na gig zao zikoje then brainstorm tu utajua service gani na ww utoe na utaweza kuideliver.mkuu mimi nina interest sana ya kufanya kaz kama izi za kwenye computer maana pia napenda sana kutumia computer...ila sasa sijasomea mambo ya computer japo najiona kabisa nikipata mtu akani brash ni kama vile nitaweza....je, kwa haya niliyoyaeleza naweza kuwa proffessional kweli kama ninavyofikiria endapo nitapata lesson?? na vip kuusu upatakanaji wa seem za kujifunza??? naweza chukua mda gan mpaka kuja kuwa atleasts na idea kidogo za kufanyia kazi??
asante
Ndg kazi gani kwa wingi zinapatikana?Na fiverr kuna swala la lever kwa seller kutokana na ufanyaji wa kazi wako na kueshimu terms and condition za fiverr. kila baada ya siku 31 fiverr wanapitia profile yako na kuangalia ufanyaji wako wa kazi kama unaendelea vizuri nk. mimi nipo kevel one saivi napambana niingie level 2 maana kadli unavyopanda level profile yako inazidi kurank na inasaidia kupata wateja kiurahisi. kuna jamaa nilikuwa nachat nae yeye ni level 2 ananiambia kila siku lazima apate order zaidi ya 3. kwa walio fiverr na km kuna platform nyingine mnafanya kazi tusaidiane kuelekezana maana online freelancer kuna fulsa kibao hasa kwa sisi wa ulimwengu wa 3
asante mkuuHizi kazi hazihitaji hata uwe umesomea computer. cha muhimu ujue basic ya computer itakayokuwezeka kufungua account na kusoma sehemu nzuri ambapo kuna material ya kutosha ni youtube. Ukitaka kujua huduma gani unaweza kutoa na ww ukalipwa ingia kwenye website ya fiverr browser km buyer utaona seller wengine wanatoa service gani na gig zao zikoje then brainstorm tu utajua service gani na ww utoe na utaweza kuideliver. Kingine kuna watu wanaprofile fiverr kazi wanazopata wana outsorce kwa watu wengine wanafanya ingawa hii inakuwa haina faida sana maana percent ambayo fiverr wanakata pale unapomaliza kazi na kuliipwa ni 20% ya order yako
Mkuu wewe kwa upande wako umebase sana kwenye skills zipi ambazo unafanyia kazi fiverr? Na je kwa uzoefu wako skills zipi zinahitajika sana?Check dashboard hii ilikuwa mwezi wa piliView attachment 1391042
Topic ya mbolea saaana hii npm contact zako kaka nashda
Post ya karne, thanks bro for sharing! [emoji109]
Kwa hizo stats kaka kupanda level kazi unayo. What gigs do you offer? I'm guessing software developmentCheck dashboard hii ilikuwa mwezi wa piliView attachment 1391042
Mkuu just went over your profile. Unajitahidi sana. Keep it upCheck dashboard hii ilikuwa mwezi wa piliView attachment 1391042
Nimepanda level tayari sema imenichukua takribani miezi 3Kwa hizo stats kaka kupanda level kazi unayo. What gigs do you offer? I'm guessing software development
Thanks mkuuMkuu just went over your profile. Unajitahidi sana. Keep it up
Fiver skills yoyote uliyonayo unaweeza kupata kazi mi Sana Sana nafanya Android application, web developmentMkuu wewe kwa upande wako umebase sana kwenye skills zipi ambazo unafanyia kazi fiverr? Na je kwa uzoefu wako skills zipi zinahitajika sana?
Sent using Jamii Forums mobile app