BEGINNING AGAIN:Nimeshauriwa ninunue kitabu hiki na kinauzwa elfu 50 ,kwa wanaokifahamu kina madini ya kunifanya nitoe elfu 50?

Kinapatikana wapi!??
 
Vipi umeachwa?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nunua biblia kwa 15000 tu Ina majibu ya maswali yote ambayo unajiuliza,ambayo huulizwa,ambayo yataulizwa.
Zaid ya yote Ina kanuni ambazo ukiishi kwa viwango vyake utatambua uhitaji wako wa kiroho na hatimaye kuwa na furaha
Achana na maarifa mengine yanachosha tu akili
 
Ninayo na kuna mambo sijapata majibu huko
 
Ninayo na kuna mambo sijapata majibu huko
Sio kweli.narudia Tena biblia Ina majibu ya maswali yote kuhusiana na maisha.isome taratibu Huku ukiongozwa na roho takatifu.kila kitu kitajifunua chenyewe.
 
Madini yanapatikana ardhini mkuu sio kwenye vitabu
 
Biblia inachanganya sana nilisoma MWANZO Mungu ameumba Nuru alafu badae akaumba chanzo hapo nikashindwa kuendelea kusoma maana sielewi
Sio kweli.narudia Tena biblia Ina majibu ya maswali yote kuhusiana na maisha.isome taratibu Huku ukiongozwa na roho takatifu.kila kitu kitajifunua chenyewe.
 
Ukiamini kwenye Mapenzi hamna security kitendo cha kuamini hamna Security ni Securty tosha
 
Kuna kitabu kinaitwa The art of getting along with people nadhani chaweza kukufaa katafute ni kizuri kuliko hicho.Mwandishi ni Cecil Osborne.Kimeandika vizuri mno
 
Kuna kitabu kinaitwa The art of getting along with people nadhani chaweza kukufaa katafute ni kizuri kuliko hicho.Mwandishi ni Cecil Osborne.Kimeandika vizuri mno
Tumtafutie mtukufu copy moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…