Behind every successful man is a great woman/behind every happy woman is a wise man!!

swali la haja hili.... umeshawahi kusikia nyoka ndumilakuwili? basi ndio zao la familia ambayo inakua na wawili wenye kuwa vichwa nyumbani

Hahahahahh mpwaz! A snake with two heads....
 
Twende taratibu MTM..hiyo itakuja kivyake!
 
swali la haja hili.... umeshawahi kusikia nyoka ndumilakuwili? basi ndio zao la familia ambayo inakua na wawili wenye kuwa vichwa nyumbani
Hehehe!Kweli kabisa...sehemu yoyote yenye mafahari wawili lazima kuwe na conflict!
 
Lizzy natumaini baada ya kupata divai iliyoombewa na mchungaji na pia roho mtakatifu alipokushukia ndio akakupa haya maneno
 
swali la haja hili.... umeshawahi kusikia nyoka ndumilakuwili? basi ndio zao la familia ambayo inakua na wawili wenye kuwa vichwa nyumbani

Hii familia itakua inaenda mbele hatua moja na kurudi hatua mbili.......pia side sways za kutosha.....
 
Lizzy natumaini baada ya kupata divai iliyoombewa na mchungaji na pia roho mtakatifu alipokushukia ndio akakupa haya maneno
Hehehe tena ndo ilikua ya mwisho..nadhani ilikua imebeba baraka zote!
 
Watu wengi sana hawajui kwa nini wanaoana na hii ndio chanzo kikubwa cha kutofautiana katika ndoa. Mume ana nafasi yake na mke ana nafasi yake kila mtu ana umuhimu wake katika hiyo ndoa.
 
Mwambie kwaresma karibia itaanza atakuwepo kwa ajili ya waumini kuja kuungama

Huko mbali hivyo!!Mbona mtakunywa sana kabla ya mfungo!!Tena atakuja kwa kasi kweli...anataka siri zenu za maungamo awaWikiliki!!!
 
Nawe pia nakutakia wiki njema,nitatafakari na kukujibu kesho kwakuwa unafahamu msimamo wangu,cheers.

The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:

Lizzy (Today)​

J3 njema Uporoto!
 
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

Lizzy (Today)​

:nod:Umeeleweka bila chenga Bigie!!Ishu ni kuchukua madhaifu ya mwenzako na kuyabadilisha....bila kusahau kuendeleza ukamilifu wake badala ya kuua!!!
 
safi sana!
ingawa kuna UTATA KIDOGO....
mi ciongei sana ila fanya mrejesho kupitia bandiko la mwanakijiji
 
Dada Lizzy samahani kwa hili swali
Ulikuwa kwenye Kitchen party ama kwenye kumfunda mwali wa kizaramo?, au umeshukia tu na ujumbe?, maana kwa wanawake wa "kisasa" ni vigumu sana kupata maneno kama hayo, ni ujumbe mzito sana ambao hata ukiuongea kwa wenzio wanaweza kukupinga

vipi umeolewa?
 
Eheeee eheeee
 
The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:

Lizzy (Today)​

J3 njema Uporoto!
Thanks Liz,kuhusu topic mimi nilikataa kubebeshwa mtoto na kuosha vyombo lakini kila kitu kingine niko tayari kufanya nitapika kila usiku.

Kituko jadili topic kuolewa/kutoolewa ni irrelevant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…