Behind every successful man is a great woman/behind every happy woman is a wise man!!

Huko kote sijapita mtu wangu!Ni mawazo tunayohitaji kukumbushana sometymz!Nianze hiyo huduma ya kufunda nini?Hehehehe!Kuhusu kuolewa mwenyewe yuko likizo kidogo angalia asikuuzie kesi akirudi!
 
Thanks Liz,kuhusu topic mimi nilikataa kubebeshwa mtoto na kuosha vyombo lakini kila kitu kingine niko tayari kufanya nitapika kila usiku.

Kituko jadili topic kuolewa/kutoolewa ni irrelevant.
Sasa Uporotoo mbona unazozikataa ndo nahitaji msaada nazo??Kupika ndo napenda haswa..kwahiyo nikipika we na mtoto..tukimaliza kula unaosha vyombo!!Alafu embu mwache mshkaji..mbona we unamendea?!
 
Huko kote sijapita mtu wangu!Ni mawazo tunayohitaji kukumbushana sometymz!Nianze hiyo huduma ya kufunda nini?Hehehehe!Kuhusu kuolewa mwenyewe yuko likizo kidogo angalia asikuuzie kesi akirudi!
Ndo maana wanawasema sana..............Muko juuu!!
Wakati wengine wanaona tu kuwa ni kitchen party, wewe unaona kuna huduma ya kutoa pale.....na huduma inauzwa....yani upo ki-IMF na world bank zaidi. I concur with you......another opportunity.
 
Napita tu:car::car:naona Lizzy unaenda BIGIRITA'S WAY
 
Hahaha..nafungua darasa kabisa Bigie na vyeti pia!Unataka kua msaidizi wangu?
 
Maneno mazuri ya busara na mafunzo.
Wababa wakishaoa wanajisahau sana na wakati kabla hawajaoa walikuwa wanajipikia, wanafua, wanaosha vyombo na kazi zote zinazomuhusu.
Husninyo , nilijaribu kufanya haya mnayoyasema baada ya kuoa nilivuna kesi kubwa sana , baada ya kuachana nayo kwa sasa ni 10+ yrs tunaishi kwa furaha ,,,, so inategemea na perception ya mtu unayejaribu kumsaidia.
 
Napita tu:car::car:naona Lizzy unaenda BIGIRITA'S WAY

We TF unaona double double:suspicious:....si tunapanga mipango ya biashara bwana....mengine yanatamaniwa tu!!!
 
Hivi behind any "crappy" man kuna nini ?:shock:
 
We TF unaona double double:suspicious:....si tunapanga mipango ya biashara bwana....mengine yanatamaniwa tu!!!

Naweza shirikishwa kwenye biashara🙂🙂nakuhaidi kutamaniana hakuna
 
Mh

Tena mna mawazo yaliyofanana haswaa, si ziunganishwe tu?
 
Lizzy kwanza nikupe thanks za kutosha za kuanzia kielektronic mpaka za kimaneno. Nimekuwa busy leo kukatiza mtaa huu ila umepoint mambo ya msingi.

Nililolipata ni moja tu...

how you see a man is because of woman behind him and how you see a woman is because of a man that is behind her

Kila mmoja anajukumu la msingi kum-mold mwenzake na kumpa muonekano fulani ambao ni matokeo ya kutimiza majukumu kama partner wa mwingine.........

Ahsante sana

O.T: Napata tetesi mchungaji yuko karibu kutoka na kutua hewani, sasa hiyo avatar vipi tena mama, una maelezo yake ya kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…