babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Shukrani sana comrade..The bold kipenzi cha jf,unanifanya nijue,nifurahi,niburudike,heshima kwako mkuuuu
Tayari toka jana mchana.. Post # 185Duh! Mzigo bado haujawekwa tu!
Sawa mkuu! Bila shaka..pia mkuu naomba idhini yako kurepost hizi maandiko zako huku nikihamasisha kupata watu wa kulipia kuzipata zaidi.
Kam mimi tu mkuu mimi nanyapia nyapia kwa kusearch key word the bold kujua kamathe bold huwa hunitag ila hakuna mshkaji anaekufeel km mimi!poa tu
Wikipedia si souce pekee ya kuaminika zipo taarifa nying sana ambazo si za kweli ndani ya WikipediaMkuu The bold, majaribio ya mpango wa KSM kulipua ndege 11 za marekani hayakufanywa kwa kutumia ndege binafsi, jaribio lilifanyika kwa ndege ya abiria, ila haikuripuka angani, ilifanikiwa kutua, huyo mjapani aliefariki alikuwa ni abiria na sio pilot, kwa mujibu wa wikipedia Bojinka plot - Wikipedia
Na jaribio lilifanywa na Yousef Ramzi
@thebold
Ooh tunafurahi umerudi hayo mambo I wish muyamalize jamani tusikukose tenaAm back..
Kuna mambo flani flani nilisigana na mabwana wakubwa.! Hayajaisha kwa mtazamo wangu ila am happy to be back..
Mkuu unatupa shida tunaotumia simu andika tu bila kuquote stori mzima ataiona tu meseji yakoMkuuu Naomba na mm unitag
Lkn mkuu hilo la mjapani aliekufa kwenye ndege lipo kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Hakuwa pilot kama anavyotuhadithia the bold, labda hii hadithi ya the bold iwe anatunga yeye mwwnyewe.Wikipedia si souce pekee ya kuaminika zipo taarifa nying sana ambazo si za kweli ndani ya Wikipedia
Na wenyewe Wikipedia taarifa zao wanazitoa ndani ya site mbalimbali ndio maana mwishoni kuna kitu kinaitwa References
Sawa mkuu..Ukiingia sehemu ya tatu naomb uni tag mkuu the bold
Bila shaka mkuu..Ukileta sehemu ya tatu uni tag na mm ni bonge la story