Behind the curtain: September 11

yes kabisa upo sawa kabisa mkuu
 
Kama akuuwawa na marekani yupo wapi kama alikufa kwa maradhi siku za nyuma mifupa yake ipo wapi na ni wapi alizikwa mimi naamini kama osama akuuwawa na marekani basi wao ndio wanaye tofauti na hapo akuna mtu yeyote duniani anayeweza kumuonyesha osama
 
Haya yote nani aliyatoa hadharani ilihali ilikua kama siri ya watu walioshiriki iyo mission tu.
 
Haya yote nani aliyatoa hadharani ilihali ilikua kama siri ya watu walioshiriki iyo mission tu.
Nianze kwa kukujibu hivi",.
Kama una amini hakuna adui au rafiki wa kudumu jua vitu vinawekwa wazi na adui au rafiki.Vile vile kama unaamini hakuna siri ya watu wawili basi hivi ndivyo basi siri huvuja.
Siri hizi hutolewa pale 1.)Mtuhumiwa/watuhumiwa kukamatwa (kubananishwa kirafiki na kiadhabu) na kutoa siri na,
2.) Wanaoratibu mambo haya kukengeuka mf. jasusi kukimbia shirika na kuhamia upande wa pili mf, mzuri ni Edward Snowden.

Hivi ndivyo hizi zilizokua siri huwekwa hadharani,
 
Nzuri Sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanasemaga eti hakuna mwanaume kama Yesu ?

hakuna mwanaume kama Osama bhana...
 
Safi sn mkuu....

Nimepafurahia hapo kwamba walijikuta wamebaki na silaha nyingi sana na wakakosa adui wa kupigana nae hivyo wakaanza kutafuta maadui wapya wa kupambana nao😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…