Sijui... enlighten me please!hivi unajua maana ya neno abroad?πππ
Poor aesthetic value
Kiazi kooni kinakuacha na shubiri kwa ulimi, the building is astheticly beautiful, i've seen it and couldnt stop lookingPoor aesthetic value
MimiThat is one UGLY tower.....sijui nani alichagua hiyo design!
WivuPoor designing.. some designs look better were they came from, when they copy and paste them in our african environments , at least they should try to modify them
133 metres nadhaniUrefu wake Ni mita ngap
The bitch is complete at last!View attachment 757345
Niliwaambia Wabongo mmepata majengo machache juzi ndio maana mna kelele hamuamini macho yenu. Huku majengo kama haya tuliyazoea kitambo.Fist glass n steel in Nrb
Alafu pia hamuelewi steel structure ni nini. Cladding na glazing haziwezi fanya jengo liwe steel structure. The only skyscraper steel structure in East Africa is the Teleposta Tower. Hizo zingine ni concrete structures.Fist glass n steel in Nrb
like the emergency landingIngekua ni Dar ndo wameamsha hilo jengo. JF hakungekalika, kila mada ingekua wanaongelea hilo jumba, alafu lingefanyiwa uzinduzi mara kama saba hivi kuazia mwaka juzi hadi sasa
nothing special with that building it's ugly!Alafu pia hamuelewi steel structure ni nini. Cladding na glazing haziwezi fanya jengo liwe steel structure. The only skyscraper steel structure in East Africa is the Teleposta Tower. Hizo zingine ni concrete structures.View attachment 757708
I didn't post it for its beauty. I posted it to educate you on the fact that its the only steel skyscraper in East Africa.nothing special with that building it's ugly!
nothing special with that building it's ugly!
πππππStop hating on a perfectly beautiful building. This has been posted on Skyscrapercity and everyone is in love with it. It's only a southern brother who'll find this building not beautiful. ..... pathetic.