ozark JF-Expert Member Joined Dec 31, 2021 Posts 626 Reaction score 1,592 Jul 6, 2022 #1 Wakuu mwenye kujua bei elekezi ya mafuta kwa mwezi Julai, sababu mpaka naandika uzi huu saa 11 alfajiri, Jumatano ya kwanza ya mwezi (ambayo ndio siku ya kutangaza), bado. Nawasilisha
Wakuu mwenye kujua bei elekezi ya mafuta kwa mwezi Julai, sababu mpaka naandika uzi huu saa 11 alfajiri, Jumatano ya kwanza ya mwezi (ambayo ndio siku ya kutangaza), bado. Nawasilisha