Bei elekezi

Bei elekezi

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
756
Hivi leo hakuna bei elekezi ya mafuta kuanzia kesho?kwani sijamsikia masebu leo kunani?mwenye kujua anijuze!
 
Hivi leo hakuna bei elekezi ya mafuta kuanzia kesho?kwani sijamsikia masebu leo kunani?mwenye kujua anijuze!
<br />
<br />
Soma magazeti Daily News, Mwananchi, na mengine utaona bei zimeshuka. Na kwa bei za soko la dunia siku mbili hizi huenda yakashuka zaidi after two weeks.
 
Naona hata yakishuka kwenye soko la dunia... Masebu anaweza kuyapandisha hapa bongo. Uzoefu unaonyesha hivyo.
 
Back
Top Bottom