OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani.
Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani kwenye sit na dashboard imeshachakaa,nikipakia demu naanza kujitetea sana.Nataka ing'ae kote.
Nipeni maujuzi. Wapi nitapata huduma nzuri na bajeti yao ipoje. Iwe ni wale mabingwa wenyewe kabisa,sio hawa wa vichochoroni