OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Picha zinaonyesha mna kazi nzuri. Weka bei sasa
Kupiga rangi brevis ni 6MMkuu nenda pale Azam uphosterly kama mzigo upo wa uhakika nadhani quality wanayo nzuri ingawa sina experience nao.
ha ha hapo si anapata nyingine mpya used bongoKupiga rangi brevis ni 6M
Bei inategemea unataka kufanya huduma gani na aina ya gari.Weka bei mkuu tulinganishe na Safari automotive unaweza kujinyakulia wateja humu
Asante sana..kazi ni nzuri bossPicha zinaonyesha mna kazi nzuri. Weka bei sasa
unapewa na ka vits kama kifungashio?Kupiga rangi brevis ni 6M
Bei inategemea unataka kufanya huduma gani na aina ya gari.
Kwa seatcovers kama ni gari ya;
○kukaa watu watano bei ni 450k -500k tuu kutegemea na gari enyewe (magari kama spacio, harrier, rav 4, crown na zingine pia)
○Kwa gari ya 7-seater price inakua 700k-750k (kwa gari kama Alphard, land cruiser, prado)
Huduma zingine kama;
-Door panels 200k
-Roof 250k
-Dashboard 250k.
Karibuni wakuu
View attachment 2002309nataka gar iwe hivi
Garage wap? Nataka ngoma iwe fresh kama mpyaRangi 450,000-600,000 Tshs
Andaa 600k garage kimara barutiGarage wap? Nataka ngoma iwe fresh kama mpya
Sio rangi tu, pamoja na kuchomelea chomelea na kuiinuaAndaa 600k garage kimara baruti
Tunadeal na interior sio rangi mkuuView attachment 2002309nataka gar iwe hivi