Bei gani kurusha tangazo radioni?

Bei gani kurusha tangazo radioni?

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
Habari wana JF....
Ninataka kujua bei za kurusha tangazo redioni. radio mfano RFA, CLOUDS FM, TIMES FM, MAGIC etc.
 
tanga hutegemea na urefu wake I mean la dakika au sekunde ngapi, na unataka lirushwe mara ngapi na wakati wa kipindi gani, vitu hivi ndio hu determine bei ya tangazo. Ila ukienda watakupa na price list yao
 
Back
Top Bottom