Mtanzania haswa JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 663 Reaction score 100 Jan 6, 2012 #1 Habari wana JF.... Ninataka kujua bei za kurusha tangazo redioni. radio mfano RFA, CLOUDS FM, TIMES FM, MAGIC etc.
Habari wana JF.... Ninataka kujua bei za kurusha tangazo redioni. radio mfano RFA, CLOUDS FM, TIMES FM, MAGIC etc.
Mtanzania haswa JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 663 Reaction score 100 Jan 6, 2012 Thread starter #2 vp hakuna mwenye ufahamu wa hilo
che wa Tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 277 Reaction score 71 Jan 7, 2012 #3 tanga hutegemea na urefu wake I mean la dakika au sekunde ngapi, na unataka lirushwe mara ngapi na wakati wa kipindi gani, vitu hivi ndio hu determine bei ya tangazo. Ila ukienda watakupa na price list yao
tanga hutegemea na urefu wake I mean la dakika au sekunde ngapi, na unataka lirushwe mara ngapi na wakati wa kipindi gani, vitu hivi ndio hu determine bei ya tangazo. Ila ukienda watakupa na price list yao
Dio JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,274 Reaction score 159 Jan 7, 2012 #4 karibu na huku mkuu GSHAYO