Bei kuingiza umeme kwenye nyumba umbali kutoka nguzo ni chini ya mita 30

Gwalugano

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
18
Reaction score
3
Mimi niko Njombe kata ya Ramadhani.Naomba kujua gharama zote ninataka kuingiza umeme kwaenye nyumba ambapo nimeshafanya wiring na ipo umbali wa chini ya mita 30 toka ilipo nguzo
 
Pamoja na hayo.
Kama ni Sevice Line bei kwa mwaka huu
Vijijini 170,000
Mijini 455,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…