Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila January ndio wengi wanaanza kupanda mazao. Subiri ofike Machi 2023 wakati karibu chakula chote kinapopungua.Juzi nimelejea toka huko majuu niliko Kaa mda wa mwezi hivi.
Niliacha Mchele ukiwa 2,800 kwa kilo.
Mda huu niko dukani Bei ndio hizo hapo juu.
Hii nchi hadi tufike January 2023 ambapo wakulima wataanza kuvuna tena tutakuwa tumechoka sana.
Wewe ulitaka Bei iwe sh.ngapi?Juzi nimelejea toka huko majuu niliko Kaa mda wa mwezi hivi.
Niliacha Mchele ukiwa 2,800 kwa kilo.
Mda huu niko dukani Bei ndio hizo hapo juu.
Hii nchi hadi tufike January 2023 ambapo wakulima wataanza kuvuna tena tutakuwa tumechoka sana.
Wakulima washamaliza kuuza. Sasa ni zamu ya wachuuzi.Wanyonge hawapo
Waacheni wakulima walambe asali hutaki nenda kalime mashamba nchi hii sio changamoto
La sivyo kaa na hela zako waache wao wakae na hela zao
Ila hapo songombingo ni hao madalali tu hasa gharama za usafiri zipo juu sana
Ndio Bei gani? Kwani hujui kulikuwa na Ukame?Reasonable price.
Halafu Kuna mikenge inadai imethibiti mfumuko wa bei !!Wakulima washamaliza kuuza. Sasa ni zamu ya wachuuzi.
Baada ya miezi miwili wakulima wataanza kununua Tena chakula.