Bei mazao ya chakula nchini

Bei mazao ya chakula nchini

chrisno

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
117
Reaction score
16
Wapenz wanajamvi, mimi ni mtoto wa mkulima ningependa kujua na kufahamishwa bei za mazao ya chakula zilizopendekezwa na serikali hasa kwa manunuzi ya magunia kwa mazao haya mpunga. Mahindi, maharagwe, mtama na njegele.

Mwenye ufahamu atujulishe
 
Back
Top Bottom