C chrisno Senior Member Joined Mar 25, 2015 Posts 117 Reaction score 16 Apr 25, 2015 #1 Wapenz wanajamvi, mimi ni mtoto wa mkulima ningependa kujua na kufahamishwa bei za mazao ya chakula zilizopendekezwa na serikali hasa kwa manunuzi ya magunia kwa mazao haya mpunga. Mahindi, maharagwe, mtama na njegele. Mwenye ufahamu atujulishe
Wapenz wanajamvi, mimi ni mtoto wa mkulima ningependa kujua na kufahamishwa bei za mazao ya chakula zilizopendekezwa na serikali hasa kwa manunuzi ya magunia kwa mazao haya mpunga. Mahindi, maharagwe, mtama na njegele. Mwenye ufahamu atujulishe