Bei mpya ya Bia inaanza lini rasmi?

Bei mpya ya Bia inaanza lini rasmi?

Weekend ya kwanza sio; tunapaswa tukutane na waliolewa chakariii wakihangaika kujaza mafuta kwenye magari yaliyozima barabarani, kwa vichupa vya 1.5ltrs😀😀😃😃
 
Bia zinaweza kushuka lakini siyo rahis kama tunavyodhani

Kwanza Kuna mizigo bado iko store imezalishwa kwa bei ya zamani hapa hiyo hasara atakubali nani?
 
Kwa bei ya sasa watu wanakunywa hivi,ikipungua zaidi si itakuwa balaa...
 
Weekend ya kwanza sio; tunapaswa tukutane na waliolewa chakariii wakihangaika kujaza mafuta kwenye magari yaliyozima barabarani, kwa vichupa vya 1.5ltrs😀[emoji3][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]..
 
Mimi naomba tu kufundishwa namna ya KUBET!! Maana hakuna namna, ili tufidie hizi TOZO za Mwigulu! 😁😁😁

Huwa nasikia tu kuna Odds, odds 1.5, odds 2!!! Sijawahi kuelewa zinamaanisha nini!!
 
Back
Top Bottom