Don't drive, drink beer it is cheaper than petrol.Hapo itabidi watu wabadilishe system (Magari yatumie Beer) na wajifunze kunywa Petroli......
[emoji23][emoji23][emoji23]..Weekend ya kwanza sio; tunapaswa tukutane na waliolewa chakariii wakihangaika kujaza mafuta kwenye magari yaliyozima barabarani, kwa vichupa vya 1.5ltrsπ[emoji3][emoji2][emoji2]
Nimecheka kiasi maana nipo bia ya pili hapa inabidi nipenga Kama 20 hiviBia mbili kwa kitimoto nusu ya kuchoma huwa tamu sana.
Cc.Bunge letu limejaa viazi
Ongeza sautiiiiiiHapo itabidi watu wabadilishe system (Magari yatumie Beer) na wajifunze kunywa Petroli.
Ukiona bei ya bia inashuka ujue wanywaji wanapungua kwa kasi ya ajabu.
Fanya utafiti. Wengi wamepunguza sana kama sio kuacha kabisa.