Bei Mpya Ya Motor Vehicle License

Sio feza nyingi,inaonyesha wengi hamjarudi nyumbani kwa muda mreeeeeeeefu,ndio mnaona hayo manamba na matamshi ayalingani na huko mliko mwambieni awape mahesabu kwenye dola mtaona huko mliko mnashida zaidi kuliko hapa bongo.

...nafikiri unaishi Pluto wewe!
 

Pamoja na kuwa ni lazima kodi ilipwe inakuwaje inaongezwa kwa asilimia karibu 100. Huu ni uzembe ambao kuna baadhi ya wafanyakazi wa serikali wamefanya na hawatachukuliwa hatua yoyote. Kama inflation haifiki hata 10% inakuwaje hii bei mpya inakuwa kubwa namna hiyo?

Hivi TRA huwa wanatumia vigezo gani katika kuweka viwango vyake hususan hivi?
 
Kwanza kabisa hebu tuulizane "kutokana na huu mfumuko wa bei je nani wa kulaumiwa"??

Je ni serikali au sisi wananchi?
 
For privated cars the rates given are still too cheap, rates should be increased and charged yearly however this should translate into better living and working conditions for our police force, just like other rich departments eg TRA. That means a big part of money should be used to improve the Police Force (I hope this is under Police department). Police force also should increase income through traffic fines which should be paid through banks and be higher than what it is now. I suggest to computerise their work and to install CCTV cameras to catch offenders or control motorists, CCTV cameras proved productive in many countries and it is a tool that can cut off unnecessary contact btn Police and Motorist. Kwa kutumia licence za mwaka, computer na CCTV cameras, Police hawatakua na haja ya kukagua magari ama kumkimbizana na mkosaji, wenye magari watajipeleka wenyewe kuchekiwa ama kulipa faini maana bila hivyo hawatapata license mpya.
Msingi wa maendeleo yetu (tumechagua) ni pesa kwani ili kuwa na nyumba za Police inabidi kutoa contract ya Ujenzi wa hizo nyumba kwa malipo ya pesa. Hamna njia ya mkato.
 

Dua

Umeangalia upande mmoja na kusahau kuwa ongezeko la kodi sio tatizo iwapo wenye magari wana uwezo wa kulipa...hivyo kama wangeongeza 5% lakini wenye magari wako hoi basi itakuwa ngumu sawa tu na kama wangeongeza 95%. Kwa viwango hivyo mimi naamini watanzania wenye magari hayo watamudu hiyo...tuombe tu itumike kama itavyotakiwa (kuboresha barabara ya usafiri kwa ujumla).
 

Nimesoma maelezo yako marefu kwa umakini lakini nasikitika kuwa sijakuelewa kabisa.

Kama nyumba imejengwa mpaka kwenye renta akaja fundi mwingine kaibomoa kisa anataka kujenga ya kwake kisha hata msingi kashindwa kuumaliza kwa mwaka mmoja na nusu hatupaswi kulaumu kweli?

Maisha yalikuwa bora kwa mkapa kuliko hivi sasa, unadhani tunahitaji kufanya research kujua hilo?

They might come from the same zoo, lakini mmoja alideliver wakati mwingine kashindwa, hata uelekeo wa kufanikiwa hauonekani kabisa! Kwa ufupi yamemshinda, unless approve vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…