Swali kwa wataalamu wetu wa IT hapa, does it worth it?
hizi ni faida za mkongo wa chini ya bahari ambapo rais alisema utapunguza gharama na utakuwa kasi zaidi.....!ttcl hawana mpango wowote. Siku zote bei zao zimekuwa juu wakati kampuni binafsi kama cats-net bei zao (wireless) zimekuwa nafuu sana. Kwa mfano tangu mwaka jana june nalipa usd150 kwa miezi mitatu na naweza kutumia zaidi ya pc 3 kwa mpigo. Wakati ttcl kwa huduma za wireless usiseme kabisa, ukiachia gharama za broadbend ambazo zilikuwa hazishikiki. je, wao walikuwa wapi siku zote??
Yeah man.....i'm gonna see the same mama ambae alinipa maelezo ya kukanganya few weeks ago.......wanasema unlimited lakini downloading and uploading sio unlimited....WTF!Nimeona tangazo la TTCL kwenye daily news la leo (02/10/2009) kuhusu kupungua kwa gharama za matumizi ya internet kutoka kwa huyu service provider TTCL.
Kiujumla, ukichukua tariff zote, wamepunguza gharama za internet usage kwa 65%.
Kilichovutia jicho langu ni ile gharama mpya ya home/non commercial user, ambayo ni unlimited, masaa 24 kila siku na ni 256Kbps na inakwenda kwa sh 45,000/= kwa mwezi.
Swali kwa wataalamu wetu wa IT hapa, does it worth it?
ingekuwa vema kujua performance yake kwa watakaotumia kabla ya
pia, hivi hawa watu wa wia nao wameunganishwa na seacom?
Recently speed imeongezeka sana - i can download at 300 - 400kb/s. It's very fast!
I can watch a full utube clip from start to finish without a single pause.
Pia, hivi hawa watu wa WIA nao wameunganishwa na SEACOM?
Recently speed imeongezeka sana - I can download at 300 - 400KB/s. It's very fast!
I can watch a full UTube clip from start to finish without a single pause.
Pia, hivi hawa watu wa WIA nao wameunganishwa na SEACOM?
Recently speed imeongezeka sana - I can download at 300 - 400KB/s. It's very fast!
I can watch a full UTube clip from start to finish without a single pause.