Bei mpya za kuunganisha umeme!!


ahsante kwa kutujulisha hizo rates mpya lakini nina swali dogo,je miji midogo ya tarafa katika wilaya zilizoko vijijini kama karagwe zitahesabiwa kama kijijini au mjini!!!natanguliza shukrani
 
jirani ni vyema wakalipa fidia,maana mtu unavuta nguzo nne na unalipia peke yako na ukisha maliza tu,asubuhi nao wanakimbilia kuweka umeme.
Tanesco lazima waliangalie hili
 
Hivi Kuunganishiwa Umeme Huchukua Muda Gani ?
 
Nasubiri siku watakapo kuja kuniambia wanafungia watu umeme kwenye transformer yangu bila kuni-refund,nadhani moto
utawaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…