Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
mjasirimali mm ninayo machine ya kuangalia almasi kama ni ya kweli na bei ya kitanzania nauza laki moja inatumia batterry 1 tu ni nzuri kuwa na nayo
Mkuu,
Itakuwia Vigumu sana kujua bei ya Almasi kwa mfumo huo kwa sababu ukitaka kununua ni lazima uangalie yafuatayo:- 1) Clarity. 2) Shape. 3) Flawless or inclusions 4)Weight. Nakushauri uje Shinyanga au Ni Pm tuongee.

Shimbonini na Imany John,
Jipangeni tu huko na mie nalifanyia kazi hili swala.
Nikipata soko lake basi ntawajulisha. Kwa sasa nipo katika kufuatilia.[/QUOTE
Umesomeka mkubwa!