ahmedjuma4 Senior Member Joined Jul 16, 2019 Posts 107 Reaction score 224 Aug 2, 2019 #1 Habari za majukumu wadau! Ninaomba kufahamu Bei ya Alizeti kwa kilo kwa waliopo mkoa wa Singida! Ahsanteni
Habari za majukumu wadau! Ninaomba kufahamu Bei ya Alizeti kwa kilo kwa waliopo mkoa wa Singida! Ahsanteni
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,896 Aug 2, 2019 #2 ahmedjuma4 said: Habari za majukumu wadau! Ninaomba kufahamu Bei ya Alizeti kwa kilo kwa waliopo mkoa wa Singida! Ahsanteni Click to expand... Kuna kipindi kifupi kilichopita nilisikia ilikuwa tsh. 800!!!
ahmedjuma4 said: Habari za majukumu wadau! Ninaomba kufahamu Bei ya Alizeti kwa kilo kwa waliopo mkoa wa Singida! Ahsanteni Click to expand... Kuna kipindi kifupi kilichopita nilisikia ilikuwa tsh. 800!!!