Zogoo da khama JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 631 Reaction score 592 May 18, 2022 #1 Habari wadau wa kilimo, naomba kufahamishwa bei ya alizeti kwa kilo moja au kwa tani, iwe msimu huu au uliopita?
Habari wadau wa kilimo, naomba kufahamishwa bei ya alizeti kwa kilo moja au kwa tani, iwe msimu huu au uliopita?
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 May 18, 2022 #2 Nasubiri. Me pia nahitaji kutahamishwa.
zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Jun 10, 2022 #4 Songea Kisado (wenyeji wanaita DUMLA) kinauzwa 1500-1800. Gunia la kilo 100 ni sawa na sado 30 Sado moja ni kilo 4
Songea Kisado (wenyeji wanaita DUMLA) kinauzwa 1500-1800. Gunia la kilo 100 ni sawa na sado 30 Sado moja ni kilo 4